Lyrical(Swahili)
Vile napanda kenya mpya ndo nichange nimnunulie nguo mpya.
Aliona nani nayo akesema hela ni mimi ninayo ata yeye anataka kua nayo,
Nikitembea na yeye nakaa kama mshukiwa ata yeye anajua kila mahali yeye ni kama shamba ya miwa sura pia rangi ya mia,
Kupata thao ni mao rahisi ten raised to power three si tricky,
Nikimix ngoma ni soft rock plus rnb si kama mixed fruits bila kukula best dish,
And my wish is granted but soon i want it to be warranted.

Comments
Post a Comment