mambo wazi wazi

Maneno ya dunia ni mengi na ukianza kujisumbua kwa kuwaza  basi hutawai maliza.Tenda wema nenda zako kwa vile sio kila insi anayeweza kufanya ufanyacho.Tabasamu la uso si la roho na si kila mtu anayekuita rafiki ni rafiki wa kweli.Kwa chochote zuri unachofanya Rabai pekee ndiye anaweza kukutuza_who gives never lacks.Binadamu ni kinyonga na wa kuamini ni wewe pekee kujiamini_even your own teeth bites your tongue.

Comments

Popular Posts