Chogororo

Nakula kwa macho,
Kukula five star doo si mchezo,
Mwili wake ni kama umbo umechorwa,
Nguo yake ni kama alishonewa ikiwa kwa mwili,
Bili yake siwezi gharamia,
Na rangi yake ni ile ya mia achana na thao hiyo ni ya kukula kwa njia,
Kuenda spa na saumu yeye ndio anajigharimia,
Photo mania,
Selfie na myself ndio zetu kawaida,
Si kuchanganyikiwa hapa inabidi uchangamke kama soldier,
Major and minor none of the above,
Main girl she be fine as she walks in a dress around town,
She is like the dove i see in my dream hand in hand kutembea wawili wawili,
Ukiniona naye funga ndimi na ukaze mshipi,
Do not be in a rush to blab just hush and double tap.

Comments

Popular Posts